MSAFARA WA KIKOSI CHA YANGA KWENDA ZANZIBAR KUIVAA SINGIDA BS FAINAL YA CRDB



Kikosi cha Yanga jioni ya leo kimesafiri kutumia ndege kuelekea Zanzibar kujiandaa na mchezo wa tarehe 29 Juni wa fainali ya CRDB Federation Cup.

Huu hapa msafara wa benchi la ufundi na viongozi walio safiri na timu:

Makipa:

  • Abutwalibu Msheri
  • Djigui Diara
  • Khomein Abubakar

Mabeki:

  • Dickson Job
  • Bakari Mwamnyeto
  • Ibrahim Hamad
  • Kibwana Shomari
  • Nickson Kibabage
  • Shadrack Boka

Viungo:

  • Jonas Mkude
  • Sure Boy
  • Khalid Aucho
  • Duke Abuya
  • Mudathir Yahaya
  • Aziz Andambwile
  • Shekhan Khamis
  • Nkane Denis
  • Pedoh Pacome

Washambuliaji:

  • Mzinze Clement
  • Prince Dube
  • Ikangalombo Kapera
  • Farid Mussa
  • Cleutas Chama

Kocha Miloud Hamdi ameongozana na benchi lake lote la ufundi.

Israh Mwenda hajasafiri na timu baada ya kualikwa kuhudhuria hafla ya Alience Day kule Mwanza. Pia, Kwasi Yao ana majeraha, huku Kennedy Musonda akiwa tayari ametimka klabuni hapo.

Yanga wamesafiri pia na kiungo mpya Mahamed Doumbia ambaye amekuja kusaini mkataba kuchukua nafasi ya Stephane Aziz Ki.

Previous Post
No Comment
Add Comment
comment url