Klabu ya Simba imemtambulisha beki Rushine De Reuck raia wa Afrika Kusini kuwa Mchezaji mpya wa Klabu hiyo.De Reuck anajiunga na Simba akitokea Maccabi Petah Tikva F.C


Klabu ya Simba imemtambulisha beki Rushine De Reuck raia wa Afrika Kusini kuwa Mchezaji mpya wa Klabu hiyo.

De Reuck anajiunga na Simba akitokea Maccabi Petah Tikva F.C aliyekuwa anakipiga kwa mkopo kutoka kwa Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini.

SOMA ZAIDI HAPA

Post a Comment

write your comment here

Previous Post Next Post