KIKUNDI BORA KWA MAENDELEO YA KIUCHUMI MAELEKEZO YOTE MUHIMU SOMA HAPA
- Ilikujiunga na kikundi hiki inatakiwa kua na kianzio Cha Tsh2,000 hiyo ni akiba ya kikundi kwa maendeleo ya kikundi.
- Kua na kazi ambayo kwa siku unaweza kuingiza agharau Tsh1000.
- Taarifa zote ambazo zinahitajika kuzijaza hakikisha kua ni taarifa zako kamili.
- Kuhudhuria katika vikao ni muhimu kiwe Cha video calls au Cha ana kwa ana ni muhimu.
- Kutoa pesa ya mgawanyo Ili muhusika apate pesa yake mwisho wa mwezi ni muhimu na nilazima kufuata muda endapo utachelewesha utatozwa fidia ya asilimia 5% ya pesa husika.
- Pesa kwaajili ya kikundi hiyo ni ya lazima na hulipwa pale ambapo wanakikundi watakapo Kaa na kujadili kua kila mmoja ana paswa kutoa shingapi kwaajili ya kikundi .Matumizi ya pesa hii ni kwaajili ya matukio mbalimbali yatakayo kigusa kikundi kama..
- MAGOJWA
- MISIBA
- SHEREHE
- MRADI WA KIKUNDI
kujisajili bonyeza hapa👉